Je, huyu ni wewe?
Umeshatumia pesa nyingi kununua dawa za hospitali, mitishamba, na kila aina ya tiba — lakini bado, vidonda vya tumbo haviponi kabisa.
Kila mara unapopata nafuu kidogo, unahisi huenda safari hii umepata suluhisho…
Lakini ndani ya wiki chache, maumivu yanarudi — mara hii kwa kasi na makali zaidi. Maumivu yanayochoma tumboni, yanayokunyima raha, na kuharibu kila siku yako.
Unaanza upya tena. Dawa mpya. Lishe mpya. Masharti mapya. Lakini bado, matokeo ni yale yale.
Ukweli ni kwamba umechoka — kila siku kuamka na maumivu. Kukosa hamu ya kula. Kila mlo kuwa kama adhabu. Hata usingizi unakukimbia — kwa sababu ya gesi, kiungulia, na maumivu yanayochoma usiku kucha.
Wakati wengine wanaishi maisha yao kwa amani, wewe unaishi kwa hofu: "Je, leo vidonda vitaaamka na kuanza kunisumbua tena?"
Umejaribu kila kitu — dawa, mlo, tiba mbadala — lakini bado hakuna mabadiliko ya kudumu. Na sasa unaanza kujuliza:
Muda wako, pesa zako, hata imani yako imekuwa ikiyeyuka polepole… …ukitafuta suluhisho la kweli — lisilo la muda mfupi.
Na sasa, hofu inazidi kuongezeka: "Je, hali hii itageuka kuwa kansa? Je, maisha yangu yatabaki hivi milele? Je, naweza kufa kwa sababu ya vidonda vya tumbo — kama wengine?"
Lakini licha ya kupitia yote haya — maumivu ya kila siku, matumaini ya muda mfupi, na pesa nyingi zilizopotea — kuna jambo moja ambalo linapaswa kuwekwa wazi:
Sio kwamba wewe hujajitahidi kulishughulikia tatizo lako. Sio kwamba huna nidhamu. Na sio kwamba vidonda vya tumbo haviwezi kupona kabisa.
Tatizo ni hili: Kuna imani potofu na uongo mwingi umezungukwa nao.
Uongo kutoka kwa marafiki, mitandaoni, na hata mara nyingine kutoka kwa wataalamu wa afya.
Na hadi uachane na baadhi ya imani hizi potofu — huwezi kutoka kwenye mzunguko wa mateso unaokurudia kila mara.
Hebu tuweke wazi baadhi ya uongo mkubwa unaoendelea kuumiza afya yako:
Ni ushauri wa kwanza kabisa wengi hupewa: "Kunywa maziwa, yatatuliza maumivu."
Lakini ukweli ni huu: maziwa huleta nafuu ya muda mfupi tu — na baadaye, huweza kuzidisha tatizo.
Kwanza, maziwa huchochea uzalishaji wa asidi tumboni baada ya muda mfupi, hali inayochochea zaidi vidonda.
Pili, maziwa huunda utando wa muda mfupi (protein coating) unaofunika vidonda dhidi ya asidi — lakini punde utando huo unapofiitika, asidi hurudi kwa nguvu zaidi, na kusababisha vidonda kuumia tena kwa kiwango kikubwa zaidi.
Matokeo? Maumivu makali zaidi, mzunguko wa mateso unaojirudia, na imani potofu inayokuzuia kupata nafuu ya kweli.
Kwahiyo hupaswi kutumia maziwa fresh peke yake kama tiba ya vidonda vya tumbo.
Usielewe vibaya. Sijamaanisha usitumie kabisa maziwa fresh. Maana yangu ni kwamba mazima fresh peke yake hayawezi kukusaidia kutibu vidonda vya tumbo. Labda kama unachanganya na dawa nyingine hapo sawa.
Wengi huamini kwamba ukikaa muda mrefu bila kula, moja kwa moja utapata vidonda vya tumbo.
Lakini ukweli ni kwamba si njaa inayosababisha vidonda — bali ni uwepo wa bakteria aitwaye H. pylori pamoja na matumizi mabaya ya baadhi ya dawa za kupoza maumivu ya kichwa, tumbo, hedhi n.k
Njaa inaweza kuongeza usumbufu kwa mtu ambaye tayari ana vidonda, lakini haitoshi kusababisha vidonda vyenyewe. Kwahiyo kula kila baada ya muda si suluhisho — kama chanzo halisi hakijashughulikiwa.
Ni rahisi kuamini kwamba msongo wa mawazo (stress) nao pia husababisha vidonda — kwa sababu mara nyingi unahisi maumivu kuongezeka pindi unapokuwa na wasiwasi au kwenye dimbwi la mawazo.
Lakini ukweli ni huu: Stress haiwezi kusababisha vidonda moja kwa moja. Inaweza kuchangia hali kuwa mbaya zaidi kwa mtu mwenye vidonda tayari, lakini chanzo halisi mara nyingi ni H. pylori au matumizi ya dawa zinazochoma kuta za tumbo (kama dawa za kupoza maumivu ya kichwa, tumbo, hedhi n.k)
Ni kweli kuweka akili yako katika hali ya utulivu na kutokuwa na stress ni muhimu — lakini hiyo pekee haitoshi kuponya vidonda.
Wengi huacha kula vyakula vya viungo au vyenye ladha kali kwa hofu kuwa vitazalisha vidonda. Lakini ukweli ni kwamba chakula peke yake hakisababishi vidonda.
Vyakula hivi vinaweza kusababisha usumbufu au kuchochea maumivu kwa wale ambao tayari wana vidonda, lakini havianzi mchakato wa uharibifu wa ukuta wa tumbo na kusababisha vidonda.
Kwahiyo kupangilia au kuchagua aina ya vyakula hakutoshi kukufanya upone vidonda kwasababu vyakula sio chanzo na wala havipelekei mtu kupata au kupona vidonda.
Hivyo basi, kuamini kuwa kubadilisha tu chakula kutatosha kusaidia kutibu vidonda vya tumbo ni kujichelewesha kupona na kuondokana na maumivu ya kila siku yanayokukabili.
Hii ni dhana ya kutisha — na ya uongo.
Vidonda vya tumbo havipatikani kwa kuambukizwa moja kwa moja kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Kinachoambukiza ni bakteria wa H. pylori — na hata hivyo, si kila mtu aliye na bakteria huyu hupata vidonda. Mchanganyiko wa bakteria, kinga ya mwili, na hali ya mazingira ya tumbo ndiyo huamua.
Kwa hiyo, vidonda si maradhi ya kuambukiza kama mafua.
Hii ni hatari kwa sababu watu wengi wanakuwa navyo kwa miezi — au hata miaka — bila kujua.
Dalili huweza kujificha au kuchukuliwa poa kama tumbo kujaa gesi, kuvimbiwa, kichefuchefu, au kuchoka tu.
Na kabla hujajua, vidonda hivyo vinakuwa vimesababisha matatizo makubwa kama: kutokwa damu ndani kwa ndani, au hata tundu kwenye tumbo (perforation).
Kutokuwa na dalili hakumaanishi uko salama. Hapa ndipo watu wengi huteleza.
Pengine unajiuliza: 'Sasa tiba sahihi ya vidonda vya tumbo ni ipi?'
Usijali ndani ya dakika chache zijazo nitakuonyesha suluhisho hilo — tiba ambayo si tu inatoa nafuu ya muda mfupi, bali inakwenda moja kwa moja kwenye chanzo cha tatizo na kuhakikisha vidonda vinaisha moja kwa moja pasipo kujirudia tena.
Lakini kabla ya kufika huko, kuna jambo muhimu unapaswa kuelewa:
Na ukikielewa chanzo hicho vizuri, utaweza kuelewa kwa nini tiba sahihi hufanya kazi… na kwa nini zingine zote hazikupatii matokeo mazuri.
Mpaka sasa zimefanyika tafiti nyingi sana lakini haijajulikana bado ni kwa njia ipi bacteria hawa wa H. pylori wanavyofika tumboni lakini wakishafika tumboni ndo wanaanza kusababisha vidonda kutokea.
Licha ya ndani ya tumbo lako kuwa na mazingira ya tindikali kali sana — lakini H. pylori ni bakteria wa ajabu sana wanaweza kumudu kuishi hivyo hivyo kama ifuatayo:
Backeria huyu huweza kuishi tumboni kwa ujanja wake wa kuzalisha urease, kimeng'enya kinachobadilisha urea kuwa ammonia – ambayo hupunguza ukali wa asidi karibu naye, na kumsaidia kujificha ndani ya ukuta wa tumbo.
Ukuta wa tumbo una tabaka la ute mzito (mucus) unaolilinda dhidi ya asidi inayozalishwa tumboni mwako kila siku.
Kinachotokea ni kwamba; H. pylori huchimba kupitia ute huu na kushikamana moja kwa moja na seli laini za ukuta wa tumbo (epithelial cells).
Hii ni sawa na moto kuwaka nyuma ya kinga – ukuta unaanza kuchomwa kutoka ndani.
Mwili wako unapogundua kuwa kuna mgeni (H. pylori), unatuma askari wa kinga — lakini badala ya kumuangamiza tu, kinga zako huanza kupambana vibaya na kusababisha uvimbe wa ndani, kuharibu seli, na kuzalisha sumu ndogo ndogo (toxins na cytokines) zinazoendelea kuharibu zaidi.
Matokeo yake? Ukuta wa tumbo unakuwa dhaifu, unaumia kwa ndani, na asidi inapata nafasi ya kuingia moja kwa moja.
Kwa kuwa kinga inayoulinda ukuta wa tumboni mwako imevunjwa, asidi ya tumbo na kimeng'enya chenye nguvu sana kiitwacho pepsin huanza kushambulia seli za ukuta wa tumboni moja kwa moja.
Hii huleta vidonda vya kweli — yaani sehemu wazi, zenye maumivu makali, zinazochoma kama moto.
Kwa maelezo rahisi: vidonda hutokea pale ambapo bakteria wa H. pylori hushambulia na kuharibu ukuta wa ndani wa tumbo — ukuta ambao kazi yake ni kulinda tumbo dhidi ya madhara ya asidi na kimeng'enya cha pepsin kinachozalishwa kila siku. Pindi ulinzi huu unapoharibika, asidi na pepsin huanza kushambulia tishu laini za tumbo, na hapo ndipo vidonda huanza kuibuka.
Lakini ifahamike kwamba H. pylori siyo kisababishi pekee kinachopelekea vidonda vya tumbo kutokea.
Dawa za kupoza maumivu (NSAIDs) ya kichwa, tumbo hedhi n.k ni kisababishi kingine hatari kisichoeleweka na wengi.
Dawa hizi hutumika kila siku kupunguza maumivu — lakini kama zinatumika bila ulazima au kwa muda mrefu, huathiri uzalishaji wa ute wa kinga ya tumbo.
Zinafanya tumbo lako lipunguze prostaglandins — kemikali muhimu sana zinazolilinda dhidi ya tindikali.
Matokeo yake? Ukuta wa tumbo unabaki uchi — bila ulinzi wowote.
…tumbo lako linakuwa katika hatari kubwa ya kupata vidonda visivyopona kirahisi.
Mpaka sasa, naamini tayari umeanza kupata picha halisi ya nini hasa kinahitajika kufanyika ili kuponya vidonda vya tumbo kwa njia ya uhakika na ya moja kwa moja. Lakini kabla ya yote, kuna jambo muhimu unapaswa kuelewa:
✅ Njia sahihi, ya uhakika, na ya kudumu ya kuondoa vidonda vya tumbo ni hii hapa:
Ukiweza kufanya hatua hizi kwa usahihi na kwa ukamilifu, basi vidonda vya tumbo vitaisha — na hutateseka tena.
Tatizo ni kwamba tiba nyingi zilizopo kwa sasa zimeundwa kwa lengo moja tu: kuwaua bakteria wa H. pylori. Ni kweli — bakteria hao wanaweza kuondoka… lakini vidonda je? Bado vinabaki.
Na kwa kuwa kinga ya asili ya tumbo tayari imeharibiwa, vidonda vinaendelea kuongezeka.
Habari njema ni kwamba: Baada ya zaidi ya miaka mitano ya utafiti wa kina, tumeweza kuunda dawa maalum ya vidonda vya tumbo — ambayo haifanyi kazi moja tu, bali hufanya kazi zote tatu muhimu kwa ukamilifu.
Imeundwa kwa viambato vya asili vilivyothibitishwa kitaalamu, ikichukua zaidi ya miaka 5 ya utafiti wa kina. Hii siyo tu tiba — ni suluhisho kamili la kudumu kwa tatizo la vidonda vya tumbo.
TumboPro si dawa ya kawaida — ni hatua ya kwanza kuelekea maisha mapya yasiyo na maumivu, wasiwasi, wala masharti magumu ya kila siku. Ni maisha ya uhuru wa kweli!
Lakini usichukue maneno yangu kama ushahidi pekee… Sikiliza wanachosema watu waliokuwa na vidonda sugu vya tumbo — baada ya kutumia TumboPro:
Kabla sijakwambia bei ya kutumia TumboPro kuondoa vidonda vya tumbo, ningependa wewe mwenyewe ujipangie bei.
Unajipangia bei kiasi gani kwa suluhisho ambalo linaweza kukuvusha kutoka kwenye mateso ya kuamka usiku na maumivu makali ya tumbo, kushindwa kula vyakula unavyovipenda, kuishi kwa hofu ya kiungulia na gesi kila siku?
Unajipangia bei kiasi gani kwa tiba ambayo inakuondolea vidonda vya tumbo ndani ya wiki mbili tu — na kukulinda visirudi tena?
Unajipangia bei kiasi gani kwa dawa ambayo haikugharimu afya yako kwa kemikali kali wala kukupa masharti magumu ya maisha, bali inatibu na kulinda tumbo kwa viambato asilia, salama, na vilivyofanyiwa utafiti wa miaka?
Nadhani ukijipangia Tsh 1,200,000/= hautakuwa umekosea. Kwa sababu thamani ya kuishi bila maumivu, bila hofu, bila kunyimwa raha ya kula — haiwezi kulinganishwa na pesa.
Lakini unajua cha kushangaza ni nini? Hutalipa hata nusu ya hiyo milioni moja na laki mbili.
Utapata TumboPro kwa bei ya kushangaza, ambayo kila mtu anaweza kuimudu — kwa sababu tunajua kilio cha vidonda vya tumbo na hatutaki tena mtu mwingine apitie mateso hayo.
Utapata tiba hii kwa gharama ya:
Kama utaweka ODA yako kabla ya saa hiyo hapo juu kusoma sifuri, utalipa:
Lakini baada ya muda huo kuisha, bei itarudi 200,000/=
Usikubali kupitwa na fursa hii ya kipekee! Chukua OFA yako leo na uanze safari ya kuondokana na mateso ya muda mrefu kama vile maumivu makali ya tumbo, kiungulia cha kila siku, gesi isiyokwisha, choo kigumu cheusi kama cha mbuzi, na hofu ya kula kila unapotaka!
TumboPro ni suluhisho la haraka na la kudumu — lenye viambato asilia vinavyotibu, kuponya na kulinda kabisa. Hii si tiba ya muda mfupi; ni suluhisho la maisha.
Unasubiri nini kuweka ODA yako? Hii ni tiba mpya ya asili, ya gharama nafuu, inayokuletea matokeo ya haraka na ya kudumu. Hii ndiyo tiketi yako ya kuondokana na mateso ya kila siku ya vidonda vya tumbo — maumivu makali, kiungulia, gesi, choo kigumu na hofu ya kula chakula chochote.
Fanya mabadiliko leo. Jiokoe kwa njia salama, asilia na yenye nguvu isiyoruhusu vidonda kurudi tena!
Kuweka ODA ni rahisi. Bonyeza kitufe cha "NAHITAJI KUWEKA ODA" unachokipata chini kidogo ya maelezo haya.
Utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.
Malipo yote yanafanyika kwa njia ya Airtel-Money tu.
Tunatambua kwamba mtandaoni kuna utapeli mwingi na watu wa mikoani (Nje ya Dar) wanaibiwa pesa zao kila siku. Kwasababu hiyo tulijaribu kufanya utaratibu wa wateja wetu wa mikoani kulipia gharama zote baada ya kuwa wamepokea mizigo yao lakini tunasikitika kwamba asilimia kubwa ya wateja wa mikoani hawakuonesha ushirikiano mzuri. Wengi wao baada tu ya kujulishwa kwamba mizigo yao imefika waiifuate ndo wafanye malipo hawakupokea simu zetu tena na wengine wakasema wameghairi kuchukua dawa, hivyo ilitulazimu kuisafirisha mizigo kuirudisha Dar kitu ambacho kileta hasara kubwa kwa upande wetu.
Kwasababu hiyo utaratibu wetu mpya wa malipo uko kama ifuatavyo; kama upo mkoani (nje ya Dar) ili uweze kutumiwa mzigo mkoani itakubidi ufanye malipo ya shilingi 20,000 kwanza halafu utaratibu wa kutumiwa mzigo wako kuja mkoani ndipo utakapofanyika,kisha mzigo ukishafika utamalizia 75,000 ili itimie 95,000 ya gharama kamili.
Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda yako halafu baada ya hapo…
Kama upo Dar, unasubiri kuletewa dozi yako na…
Kama upo mkoani (nje ya Dar) unafanya kwanza malipo ya 20,000/= kupitia AIRTEL-MONEY namba: 0698659225 jina linatoka: ALANU KOBELO. Baada ya kuwa umefanya malipo ndo dawa yako inatumwa kuja mkoani ulipo,kisha ukienda kupokea dawa ndio utamalizia 75,000 ili itimie 95,000.
Kujaza fomu ya kuweka ODA ni rahisi.
Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa NAHITAJI KUWEKA ODA. Baada ya kubonyeza sehemu hiyo utafunguka ukurasa mpya wenye fomu. Jaza fomu hiyo kikamilifu na kisha itume. Mara baada ya kupokea fomu yako nitakupigia simu kukujulisha kama ODA yako imepokelewa kikamilifu.
Bonyeza sehemu hii sasa hivi.
Ofisi yetu ipo Makumbusho stand ya daladala, Sakafu (Floor) ya pili kwenye ghorofa lenye ATM ya NMB na CRDB kwa chini.
Mlango wa Kwanza upande wa kulia "Mamwira Natural Care" ndo ofisi yetu.
Tunafunguka kuanzia saa 9:00 Asubuhi mpaka 6:30 Jioni. Jumatatu mpaka Jumamosi.
Kadri unavyoendelea kusubiri ndo unajikosesha mambo yote haya. Isitoshe unapata na guarantee (Dhamana) ifuatayo:
Dhama hii iko hivi:
Tumia TumboPro kwa muda wa siku 14. Kama baada ya siku hizo utakuwa bado unaendelea kuteseka na kiungulia cha kuunguza kifua, maumivu makali ya tumbo, choo kigumu na cheusi, au kuchoka kwa muda mrefu kutokana na asidi kupanda, na kwa sababu yoyote ile utakuwa hujaridhika na matokeo ya TumboPro — piga simu kwenda namba 0698659225 toa taarifa, utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.
Hata hivyo nina imani utaipenda TumboPro na utalidhika kwa maajabu ambayo itakufanyia.
Kwanza kabisa wewe mwenyewe utashangazwa na jinsi maumivu yanavyopungua ndani ya masaa 48 tu, na hali yako inavyozidi kuimarika kila siku — bila kurejea tena kwenye mateso ya zamani.
Ukweli ni kwamba kwa kuitumia TumboPro pesa ambazo ungeendelea kuzipoteza kwenye dawa na tiba ambazo hazifanyi kazi utazifanyia mambo yako mengine ya msingi.
Weka ODA yako sasa.
Ahsante kwa kuchukua muda wako na kusoma maelezo haya. M/Mungu akubariki.
Ni sawa kabisa kuwa na mashaka na wasiwasi. Ukweli ni kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo linaloeleweka kabisa. Lakini ndio maana nakupatia guarantee (dhamana) ya kukurudishia 100% ya pesa zako zote ikiwa dawa hii ndani ya siku 14 haitakusaidia kuondokana na: kiungulia cha kuunguza kifua, maumivu makali ya tumbo, choo kigumu na cheusi, au kuchoka kwa muda mrefu kutokana na asidi kupanda.
Huna cha kupoteza. Una kila sababu ya kweka ODA yako sasa hivi ili uanze kuishi maisha ya amani, bila maumivu, kiungulia, wala wasiwasi wa kila ukila au kunywa kitu chochote.